Tunahusika na utatuzi wa changamoto katika Mfumo wa Mmeng'enyo wa chakula kama vile;
● Vidonda vya tumbo (Peptic ulcers)
● Kupanda kwa acid (Acid reflux)
● Michubuko ya tumbo (Gastritis)
● Gesi nyingi tumboni
● Maambukizi ya bacteria (H.pylori)
Kwa kutumia Program maalum ya LisheDawa.